PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503. SEHEMU YA 8 Ilipoishia sehemu ya saba (7)................ Jenny hakuwa na cha kujibu, alinyanyuka tayari kwa kuondoka huku akiwa amelegea baada ya kutawaliwa na maneno yenye hisia kali. Alipopiga hatua moja tu, niliudaka mkono wake wa kulia kisha nikasimama, nilimvuta Jenny na kuangukia kifuani mwangu................ SASA ENDELEA Nilimkumbatia vizuri Jenny kifuani mwangu, na Jenny alikuwa mtulivu juu ya hilo. "Unaniachaje Jenny kwenye hali Ka...