Posts

Showing posts from November 16, 2018

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
                                                        PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.   SEHEMU YA  7       Ilipoishia sehemu ya sita (6)...........  Siku moja nikiwa chumbani kwangu nimejilaza baada ya pilika za hapa na pale nilisikia mlango wa chumba changu ukigogwa, "ingia" (nikaruhusu bila kujua ni nani aliyekuwa anagonga mlango). Nikasikia sauti ya mlango ukiwa unafunguliwa.... ........ SASA ENDELEA      Nilipo tupia macho kule mlangoni, niliiona sura ya Jenny inayonichanganya siku zote. Matiti yake yaliyosimama na chuchu zake zikiwa zimechoza pamoja na macho yake yakiwa legevu kama amekula kungu, viliufanya mwili wangu usisimke ghafla. " Asante mungu" ( nilijisemea moyoni, nikiwa naamini kuwa mbuzi kafia kwa muuza Supu). Jenny alijisog...