Posts

Showing posts from November 14, 2018

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
                                                                PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.    SEHEMU YA  5       Ilipoishia sehemu ya nne (4)............... " nitakubeba kukupeleka bafuni wakati utakapoenda kuoga", (nilimnong'oneza).    Jenny hakukibania kicheko chake cha furaha baada ya kusikia hivyo, alicheka kwa sauti kubwa "halafu Theo wewe"................. SASA ENDELEA.      "Nini sasa?" (nikamuuliza Jenny nikiwa nimetabasamu na yeye akiwa bado anacheka).... "halafu wewe  una utani sana, nani aliyekwambia anataka kubebwa?".... "Jenny, kwahiyo unataka kuniambia hupendi kubebwa?".... "ndiyo, kwani mimi mtoto?".... "hapana, ila wewe ni mwanamke!, na mwanamke ni kama mtoto tu".... "sasa m...