PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503. SEHEMU YA 30 Ilipoishia sehemu ya ishirini na tisa (29)...................... "y uko hapo tu mtaa wa nyuma ndugu yangu".... (yule kijana alikuwa kimya kwa dakika chache) "sawa!, panda hapo twende" (yule kijana alilikubali ombi langu na kuniamuru nipande kwenye gari tayari kwenda kumsaidia Jenny kumpeleka hospitalini). Baada ya kufika pale kwa yule mzee nilipomuacha Jenny nikiwa na usafiri, nilishtuka sana baada ya kumuona Jenny akiwa tayari...................... SASA ENDELEA Amepona. Kwa hali ile mbaya niliyomuacha nayo Jenny sikuweza kuamini kama nitamkuta katika hali yake ya kawaida, nilimkimbilia na kupiga goti mbele yake "mke wangu, umepona?" (nilimuuliza Je...