Posts

Showing posts from November 20, 2018

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                                  PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasilino zaidi 0692-794942 0654-105503.    SEHEMU YA  11         Ilipoishia sehemu ya kumi (10)....................  Nilimchukulia Jenny khanga yake na kumpatia "vaa tukaoge" (nilimwambia Jenny baada ya kumpa ile khanga). Jenny aliipokea khanga yake na akaivaa usawa wa matiti kushuka chini, nilimsaidia kunyanyuka kutoka pale kitandani, tulishikana mikono tukiwa tunaelekea bafuni tayari kwa kuoga................. SASA ENDELEA      Tulipomaliza kuoga kila mmoja aliingia chumbani kwake. Nilikuwa mwenye sana siku hiyo kwa kupata kitu ambacho  kilikuwa kikininyima furaha siku zote. Nilichukua pens...