PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503. SEHEMU YA 28 Ilipoishia sehemu ya ishirini na saba (27).................... Baada ya Jenny kumaliza kusukutua pia aliyanywa yale maji, nilikichukua kile kikombe toka kwa Jenny alipomaliza kunywa yale maji na kumpatia yule mzee kile kikombe. "Tunashukuru sana mzee wangu" (nilizidi kutoa shukurani zangu kwa yule mzee huku akiwa anakipokea kile kikombe, na kuingia nacho ndani). Ghafla Jenny alianza kulalamika kuumwa na tumbo baada tu ya kunywa yale maji..................... SASA ENDELEA "Babu!, babu" (nilimwita ...