Posts

Showing posts from December 8, 2018

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
                                                                  PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.  SEHEMU YA 25   Ilipoishia sehemu ya ishirini na nne (24)........................  Sikuweza tena kupata usingizi kwa wakati ule, kwani kulishaanza kupambazuka na miwiko ya jogoo tofauti tofauti pamoja na milio mizuri ya ndege wa angani vilichangia pia nishindwe kuupata usingizi alfajili ile, nilikaa pale kitandani nikiwa nafikiria jinsi ya kuyaendesha maisha ya pale kijijini, Jenny akiwa bado amelala ghafla alishtuka toka usingizini huku akiwa anahema kwa kasi ajabu.................... ITAENDELEA    "Vipi mke wangu, mbona hivyo?" (nilimuuliza Jenny akiwa tayari ile hali yake imetulia kidogo).... (Jenny hakuweza kunijibu chochote kwa muda ...