PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503. SEHEMU YA 22 Ilipoishia sehemu ya ishirini na moja (21)................ Baada ya kushuka pale stendi, nilifuata konda na kumtaka atutolee mabegi yetu toka kwenye ile buti alimoyahifadhi. Nikiwa nimesimama kandoni mwa lile basi huku nimeshikila mabegi na Jenny akiwa ameniegemea kwenye bega langu la upande wa kushoto kwa uchovu aliyokuwa wa safari, sikuwa najua wapi pa kuelekea kwa usiku ule............... SASA ENDELEA Nilipata wazo la kumfuata konda kwa ajili ya kumuuliza kama atakuwa anajua kuwa sehemu gani tunaweza kupata nyumba ya wageni (guest), bila hiana yule konda alinielekeza kwenye nyumba ya wageni iliyopo karibu na pale stendi. Nilimwambia J...