Posts

Showing posts from November 27, 2018

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                            PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503. SEHEMU YA 18    Ilipoishia sehemu ya kumi na saba (17)....................  "sina cha kukusaidia Theo, kwanza ondoka hapa, sitaki kusikia kabisa upuuzi wako" (Baba alinitaka niondoke pale kwa kunifukuza)....     Nilijitahidi sana kuomba msamaha kwa Baba huku nikiwa bado nimepiga magoti lakini haikuwezekana kusamehewa........................SASA ENDELEA    Nilitoa kitambaa kwenye mfuko wa suruali yangu na kujifuta machozi pamoja na kamasi, nikiwa bado nimepiga magoti, nilisimama na kuondoka bila kuacha baada ya kumaliza kujifuta machozi pamoja na kamasi. Nilienda moja kwa moja mpaka nyumbani, n...