PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503. SEHEMU YA 32 Ilipoishia sehemu ya thelathini na moja (31)................... Safari ya kwenda kwa yule mama tulioelekezwa na yule mama ntilie iliishia pale pale kwa yule mzee. Yule mzee alianza kututembeza katika eneo lake lililozunguka nyumba zake huku stori za hapa na pale zikiwa zinaendelea. "Sasa babu, tunaomba tukuache mara moja tu ili tukachukue kilichochetu pale kwenye nyumba ya wageni".... "sawa vijana wangu" (yule mzee alikubaliana na mimi, tuliondoka na kumuacha mzee Jakob akiwa mwenye furaha sana, tulielekea moja kwa moja kule kwenye nyumba ya wageni tayari kwenda kuchukua kilichochetu ili kuhamishia makazi mapya kwa yule mzee). ...