PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasilino zaidi 0692-794942 0654-105503. SEHEMU YA 13 Ilipoishia sehemu ya kumi na mbili (12)................ (nilibaki kimya kwa muda kidogo baada ya Jenny kuniambia kuwa hajui chochote kinachoendelea juu ya mabadiliko yake).... "ila ngoja nikwambie kitu" (Jenny alitaka kuniambia kitu)........................ SASA ENDELEA "Ehee niambie mke wangu".... (Jenny alicheka kidogo) "halafu unaonekana kuwa ni muoga ee" (Jenny aliniuliza kwa utani)... "hapana, mimi siyo muoga aisee ila napenda kujua mapema tu ili tujiandae, maana swala la kuongeza idadi ndani ya familia inahitaji maandalizi makubwa Jenny".... "sawa, kwahiyo in...