Posts

Showing posts from December 10, 2018

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                          PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.    SEHEMU YA 26    Ilipoishia sehemu ya ishirini na tano (25).....................  "sawa wanangu, lakini huku hakuna nyumba zenye vyumba vya kupangishwa".... (nilivuta pumzi kwa kasi na kuiachia kwa kasi pia baada ya kusikia hivyo, kwani tulivyokuwa tunaendelea kukaa pale kwenye ile nyumba ya wageni ndiyo hela ilikuwa inatumika sana, na ukizingatia tulikuwa hatuna kazi yoyote ya kutuingizia hela)........................... SASA ENDELEA   "Lakini pale ninapoishi kuna jilani yangu ana nyumba mbili, na hio nyumba nyingine ni ndogo ni ya chumba kimoja na sebule, sasa subirini badae nikajaribu kuongea naye kesho mtalikuta jibu lenu hapa" (yule mama ntilie alituahidi ...