PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503. SEHEMU YA 6 Ilipoishia sehemu ya tano (5)........ Nikiwa bado nipo chumbani kwangu, nikiwa nimejilaza kitandani, ghafula nilisikia mlango wa chumbani kwangu ukigogwa..........SASA ENDELEA "Theo bado umelala tu? " (Jenny aliniuliza akiwa amesimama nje ya mlango wa chumbani kwangu).... "hapana Jenny, nimeamka ila nimetulia tu kitandani".... "poa" (Jenny alikubaliana na mimi kisha akaondoka). Hisia kali za kimapen...