PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503. SEHEMU YA 16 Ilipoishia sehemu ya kumi na tano (15)................ " hapana Theo, mwili wako umepungua kidogo!, halafu unaonekana kama kuna kitu kinachokusumbua sana wewe, ila hutaki tu kuniambia ukweli, niambie basi na mimi nijue ili nikusaidie kuwazua" .... (nilibaki kimya kwa muda kidogo) "ngoja nikwambie mke wangu.................. SASA ENDELEA "Unajua, wewe unamimba baada ya miezi kadhaa utajifungua na kuanza kulea mtoto, mtoto mchanga atahitaji mahitaji mengi ambayo ni muhimu yatakayo mfanya awe salama muda wote, kwahiyo kinachoniumiza kichwa zaidi ndiyo hicho tu mke wangu" (nilimuongopea Jenn...