PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503 SEHEMU YA 3 Ilipoishia sehemu ya pili (2)...... Tukiwa tunakunywa juisi mimi na Jenny, mama alisimama na kusema "ngoja nikuache mwanangu niandae chakula"... "sawa aunty" (Jenny alijibu), mama alielekea jikoni tayari kuandaa chakula na kutuacha pale wenyewe tukiwa wawili tu............. SASA ENDELEA Kimya kilitawala kwa muda kidogo huku kila mmoja akiwa anausikilizia utamu wa ile juisi. "Daah juisi ni tamu aisee" (Jenny alianza kuongea na kuuvunja ukimya).... "ni utaalamu wangu huo" (nilimjibu Jenny kwa kujisifu).... "Mmmmmmh ujue kutengeneza juisi hivi, ulinge" (Jenny alinibeza).... (nikacheka kidogo na kumuuliza) "kwahiyo Jenny huamini?" "nitakuaminije mt...