PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503. SEHEMU YA 17 Ilipoishia sehemu ya kumi na sita (16)............................. Yalipotimu majira ya saa 7 ya mchana, nilizisitisha shughuli zangu kwa ajili ya kwenda kumuona mzee John. Nilipofika pale kazini kwake, niliingia moja kwa moja ofisini kwake, Baba alishangaa sana kuiona sura yangu mahala pale............................. SASA ENDELEA "Shikamoo baba" (nilisalimia na kukaa kwenye kiti kilichopo mbele ya meza yake).... "marahaba, vipi".... "safi tu baba, habari za kazi".... "safi, vipi!, mbona ujio wako ni wa ghafla, kwema huko lakini?" (Baba aliniuliza, kwani alishangazwa na ujio wangu wa ghafl...