PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasilino zaidi 0692-794942 0654-105503. SEHEMU YA 12 Ilipoishia sehemu ya kumi na moja (11)................... (Baba alinyamaza kwa muda kidogo) "naona Theo umeshindwa kujibu vile ninavyotaka, ila jua kuwa mficha maradhi siku zote hua anaumbuliwa na kifo, kwa kuwa umeshindwa kuambia ukweli wa kukuhusu wewe na Jenny, basi sina cha zaidi ila usije ukanihusisha kwa chochote kitakacho tokea kati yenu" (Baba alionekana kama tayari anayajua mahusiano yetu)...................... SASA ENDELEA "lakini Baba, hakuna chochote kinachoendelea kati yetu zaidi ya kuheshimiana tu, namuheshimu sana Jenny Baba, namchukulia kama dada yangu wa tumbo moja" (nilizid...