PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI
PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503. SEHEMU YA 20 Ilipoishia sehemu ya kumi na tisa (19)............... "Nashindwa kukuelewa Jenny kwa ukimya huo unamaanisha nini?" (nilimuuliza Jenny baada ya kuona kuwa kimya kimezidi).... (Jenny alibaki kimya kwa dakika chache na kujibu) "Theo, nitawezaje kuondoka na kumuacha aunty ateseke peke yake?, siwezi kuondoka hapa Theo, siwezi................. SASA ENDELEA Nilishtuka sana baada ya kusikia hilo jibu alilolitoa Jenny, nilivuta pumzi kwa kasi na kuiachia kwa kasi pia, na nikabaki kimya kwa dakika chache nikiwa napima uzito wa lile jibu la Jenny huku nikitafuta maneno mengine ya kumwambia ambayo yatakuwa maz...