PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503. SEHEMU YA 31 Ilipoishia sehemu ya thelathini (30)................... mimi naitwa mzee Jakob hivi mnavyoniona ndivyo nilivyo, mke wangu alikufa miaka miwili iliyopita na kwa bahati mbaya hatukuweza kupata mtoto, "pole sana mzee wangu" (nilimdakia tena yule mzee kwa kumpa pole baada ya kusikia kuwa amempoteza mke wake, na aliendelea kuongea), asante sana kijana wangu, pia nataka niwaambie kitu kimoja ambacho kitakuwa ni cha muhimu sana kwenu......................... SASA ENDELEA "Eheee, tuambie mzee wangu" (nilimuhimiza yule mzee atuambie hicho kitu kwani nilikuwa na shauku kubwa ya kutaka kukijua kuwa ni kitu gani).... (yule mzee alinyamaza kwa dak...