Posts

Showing posts from November 23, 2018

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                          PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.    SEHEMU YA  14    Ilipoishia sehemu ya kumi tatu (13)..............  Mara kidogo nilimuona yule daktari akitokea kwenye kile chumba na mkononi akiwa ameshikilia karatasi ya majibu..................  SASA ENDELEA    Tulijisogeza pale mezani kwake yule daktari baada ya kufika pale, tayari kwa kuyapokea majibu. "Hongera sana rafiki yangu" (yule daktari alinipongeza kabla ya kuniambia nini kilichotokea).... "asante sana rafiki yangu" (niliipokea ile pongezi nikiwa natabasamu, ila tabasamu langu lilikuwa ni fake).... "muda siyo mrefu utaitwa baba,  hongera sana kwa hilo rafiki yangu" (yule daktari alizidi kunipongeza) "shemeji ana mimba ya wiki t...