Posts

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
                                              PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503     SEHEMU YA 3     Ilipoishia sehemu ya pili (2)......  Tukiwa tunakunywa juisi mimi na Jenny, mama alisimama na kusema "ngoja nikuache mwanangu niandae chakula"... "sawa aunty" (Jenny alijibu), mama alielekea jikoni tayari kuandaa chakula na kutuacha pale wenyewe tukiwa wawili tu............. SASA ENDELEA            Kimya kilitawala kwa muda kidogo huku kila mmoja akiwa anausikilizia utamu wa ile juisi. "Daah juisi ni tamu aisee" (Jenny alianza kuongea na kuuvunja ukimya).... "ni utaalamu wangu huo" (nilimjibu Jenny kwa kujisifu).... "Mmmmmmh ujue kutengeneza juisi hivi, ulinge" (Jenny alinibeza).... (nikacheka kidogo na kumuuliza) "kwahiyo Jenny huamini?" "nitakuaminije mt...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
                                              PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI  By theostar  Kwa mawasilino zaidi 0692-794942 0654-105503     SEHEMU YA 2     Ilipoishia sehemu ya kwanza (1).......  Nilishindwa kujizuia kuonyesha tabasamu la furaha mbele yake, wakati huo nikiwa nimemduwaza yule msichana kwa kunishangaa, kwanini nimekuwa kwenye hali ile............  SASA ENDELEA....     "Kwahiyo wewe unaitwa Jennifer?"....  "Wewe"!! (yule msichana alistaajabu baada ya kulitaja jina lake, na kuniuliza) wewe umelijuaje jina langu?.... (Nilicheka kidogo kwa furaha, na kumwambia), nijibu kwanza.... "Ndiyo" (yule msichana alinijibu kwa kufupi)....     Nikiwa mwenye furaha iliyodhihilika mbele ya macho yake na yeye akiwa ameduwaa akishindwa kukiamini kinachoendelea pale. " Dah kweli leo nimeamini k...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0654-105503 0692-794942                               SEHEMU YA 1      Ilikuwa ni siku ya jumatano naelekea msamvu kituo cha mabasi kwenda kumpokea mgeni ambaye ni mtoto wa shangazi. Kiukweli sikuwa namfahamu kisura japo nilikuwa nalijua jina lake tu, kwasababu mama alikuwa akiniambia story za kumuhusu huyo binamu yangu.     Nilipofika msamvu kituo cha mabasi sikujua wapi pakuanzia, kwasababu mtu niliemfuata sikuijua sura yake na ukizingatia kwa wakati huo hapakuwa na simu za mkononi. Wakati nikiwa nimesimama huku nimeduwaa, ghafla likaingia basi la Abood pale kituoni likitokea dar es salaam, nililisindikiza kwa macho lile basi mpaka sehemu lilipo simama. Taratibu nilianza kujongea kulifuata lile basi nikidhania niliyefuata labda atakuwa ndani mwa lile basi. Nilipokaribia kufika, moyo ulisita kuendelea kulifuata lile basi ...