Posts

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                            PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503. SEHEMU YA 18    Ilipoishia sehemu ya kumi na saba (17)....................  "sina cha kukusaidia Theo, kwanza ondoka hapa, sitaki kusikia kabisa upuuzi wako" (Baba alinitaka niondoke pale kwa kunifukuza)....     Nilijitahidi sana kuomba msamaha kwa Baba huku nikiwa bado nimepiga magoti lakini haikuwezekana kusamehewa........................SASA ENDELEA    Nilitoa kitambaa kwenye mfuko wa suruali yangu na kujifuta machozi pamoja na kamasi, nikiwa bado nimepiga magoti, nilisimama na kuondoka bila kuacha baada ya kumaliza kujifuta machozi pamoja na kamasi. Nilienda moja kwa moja mpaka nyumbani, n...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                    PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.     SEHEMU YA 17     Ilipoishia sehemu ya kumi na sita (16).............................  Yalipotimu majira ya saa 7 ya mchana, nilizisitisha shughuli zangu kwa ajili ya kwenda kumuona mzee John. Nilipofika pale kazini kwake, niliingia moja kwa moja ofisini kwake, Baba alishangaa sana kuiona sura yangu mahala pale............................. SASA ENDELEA    "Shikamoo baba" (nilisalimia na kukaa kwenye kiti kilichopo mbele ya meza yake).... "marahaba, vipi".... "safi tu baba, habari za kazi".... "safi, vipi!,  mbona ujio wako ni wa ghafla, kwema huko lakini?" (Baba aliniuliza, kwani alishangazwa na ujio wangu wa ghafl...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                          PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.  SEHEMU YA 16    Ilipoishia sehemu ya kumi na tano (15)................ " hapana Theo, mwili wako umepungua kidogo!, halafu unaonekana kama kuna kitu kinachokusumbua sana wewe, ila hutaki tu kuniambia ukweli, niambie basi na mimi nijue ili nikusaidie kuwazua" .... (nilibaki kimya kwa muda kidogo) "ngoja nikwambie mke wangu.................. SASA ENDELEA     "Unajua, wewe unamimba baada ya miezi kadhaa utajifungua na kuanza kulea mtoto, mtoto mchanga atahitaji mahitaji mengi ambayo ni muhimu yatakayo mfanya awe salama muda wote, kwahiyo kinachoniumiza kichwa zaidi ndiyo hicho tu mke wangu" (nilimuongopea Jenn...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                      PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.   SEHEMU YA  15    Ilipoishia sehemu ya kumi na nne (14)..................  " Hayawi hayawi sasa yamekuwa"  kweli yamekuwa, sijui nitamweleza nini mzee John?, nitamwanzaje?, na je itakuaje siku akija kujua?", maswali mengi yaliyokosa majibu yalikizonga kichwa changu, yalinifanya nishindwe kustahimili ile hali ya kubaki pale sebuleni. Nilizima runinga na kuingia chumbani kwangu kujilaza kitandani labda huko nikiwa usingizini ndiyo naweza kupata majibu ya maswali yangu..................... SASA ENDELEA      Jenny baada ya kumaliza kupika chakula, alikitenga mezani na kuja kuniita kule chumbani kwangu. "Mbona um...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                          PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.    SEHEMU YA  14    Ilipoishia sehemu ya kumi tatu (13)..............  Mara kidogo nilimuona yule daktari akitokea kwenye kile chumba na mkononi akiwa ameshikilia karatasi ya majibu..................  SASA ENDELEA    Tulijisogeza pale mezani kwake yule daktari baada ya kufika pale, tayari kwa kuyapokea majibu. "Hongera sana rafiki yangu" (yule daktari alinipongeza kabla ya kuniambia nini kilichotokea).... "asante sana rafiki yangu" (niliipokea ile pongezi nikiwa natabasamu, ila tabasamu langu lilikuwa ni fake).... "muda siyo mrefu utaitwa baba,  hongera sana kwa hilo rafiki yangu" (yule daktari alizidi kunipongeza) "shemeji ana mimba ya wiki t...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                          PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasilino zaidi 0692-794942 0654-105503.    SEHEMU YA  13     Ilipoishia sehemu ya kumi na mbili (12)................  (nilibaki kimya kwa muda kidogo baada ya Jenny kuniambia kuwa hajui  chochote kinachoendelea juu ya mabadiliko yake).... "ila ngoja nikwambie kitu" (Jenny alitaka kuniambia kitu)........................ SASA ENDELEA    "Ehee niambie mke wangu".... (Jenny alicheka kidogo) "halafu unaonekana kuwa ni muoga ee" (Jenny aliniuliza kwa utani)... "hapana, mimi siyo muoga aisee ila napenda kujua mapema tu ili tujiandae, maana swala la kuongeza idadi ndani ya familia inahitaji maandalizi makubwa Jenny".... "sawa, kwahiyo in...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                              PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasilino zaidi 0692-794942 0654-105503.   SEHEMU YA  12      Ilipoishia sehemu ya kumi na moja (11)...................  (Baba alinyamaza kwa muda kidogo) "naona Theo umeshindwa kujibu vile ninavyotaka, ila jua kuwa   mficha maradhi siku zote hua anaumbuliwa na kifo,  kwa kuwa umeshindwa kuambia ukweli wa kukuhusu wewe na Jenny, basi sina cha zaidi ila usije ukanihusisha kwa chochote kitakacho tokea kati yenu" (Baba alionekana kama tayari anayajua mahusiano yetu)...................... SASA ENDELEA       "lakini Baba, hakuna chochote kinachoendelea kati yetu zaidi ya kuheshimiana tu, namuheshimu sana Jenny Baba, namchukulia kama dada yangu wa tumbo moja" (nilizid...