Posts

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                        PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.       SEHEMU YA 24    Ilipoishia sehemu ya ishirini na tatu (23).................  "sawa, ngoja nikwambie mke wangu, (nilinyamaza kidogo), kwanza naomba unisamehe mke wangu kwa kutokukuambia ukweli juu ya mambo yaliyokuwa yanatokea ambayo yalikuwa yananiweka katika wakati mgumu sana, pia nilikuwa naogopa kukwambia ukweli kutona na hali yako mke wangu, niliogopa kukusababishia msongo wa mawazo, lakini pia licha ya mapenzi yetu kuyafanya kuwa ni siri sana pale nyumbani ila Baba alikuwa anajua kinachoendelea kati yetu"..... "nini" (Jenny alishtuka sana baada ya kusikia kuwa Baba alikuwa anajua kila kitu kutuhusu)....................... SASA ENDELEA    "Ndiyo mke ...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                              PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.  SEHEMU YA 23     ilipoishia sehemu ya ishirini na mbili (22)....................    Kwa pamoja tulianza kula chakula baada ya mimi kutoka mle bafuni nilipomaliza kuoga. "Unajua pale sijakuelewa mme wangu".... "hujanielewa nini?".... "kwanini umeamua kutaja majina ya uongo?" (Jenny aliniuliza tukiwa tunaendelea kula).................. SASA ENDELEA (Nilicheka kidogo baada ya kulisikia lile swali aliloniuliza Jenny).... "sasa mbona unacheka?".... "hapana mke wangu!, nimeamua tu kufanya vile kwa sababu ya kujiimalishia usalama wetu",.... "mmmmh, bado sijakuelewa mme wangu kuwa unamaanisha nini kusema hivyo".... (nilinyamaza kidogo) "nasema hivyo kwa s...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                          PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.   SEHEMU YA  22    Ilipoishia sehemu ya ishirini na moja (21)................  Baada ya kushuka pale stendi, nilifuata konda na kumtaka atutolee mabegi yetu toka kwenye ile buti alimoyahifadhi. Nikiwa nimesimama kandoni mwa lile basi huku nimeshikila mabegi na Jenny akiwa ameniegemea kwenye bega langu la upande wa kushoto kwa uchovu aliyokuwa wa safari, sikuwa najua wapi pa kuelekea kwa usiku ule............... SASA ENDELEA    Nilipata wazo la kumfuata konda kwa ajili ya kumuuliza kama atakuwa anajua kuwa sehemu gani tunaweza kupata nyumba ya wageni (guest), bila hiana yule konda alinielekeza kwenye nyumba ya wageni iliyopo karibu na pale stendi. Nilimwambia J...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                                                                                SEHEMU YA 21 PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.         Ilipoishia sehemu ya ishirini (20)................  Tulishuka kwenye ile bajaji baada ya kufika pale stendi, nilishusha mabegi yetu na kumpatia hela yake yule dereva bajaji. Tuliingia ndani ya stendi huku nikiwa nimebeba mabegi yote mawili.   Tukiwa ndani ya stendi, niliduwaa baada ya kuona wingi wa mabasi yaliyopo pale stendi na sikujua wapi pa kuelekea...................... SASA ENDELEA   ...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                  PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.    SEHEMU YA 20    Ilipoishia sehemu ya kumi na tisa (19)...............    "Nashindwa kukuelewa Jenny kwa ukimya huo unamaanisha nini?" (nilimuuliza Jenny baada ya kuona kuwa kimya kimezidi).... (Jenny alibaki kimya kwa dakika chache na kujibu) "Theo, nitawezaje kuondoka na kumuacha aunty ateseke peke yake?, siwezi kuondoka hapa Theo, siwezi................. SASA ENDELEA     Nilishtuka sana baada ya kusikia hilo jibu alilolitoa Jenny, nilivuta pumzi kwa kasi na kuiachia kwa kasi pia, na nikabaki kimya kwa dakika chache nikiwa napima uzito wa lile jibu la Jenny huku nikitafuta maneno mengine ya kumwambia ambayo yatakuwa maz...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
                                                    PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.     SEHEMU YA 19       Ilipoishia sehemu ya kumi na nane (18)...............  "naomba unisikilize na unielewe vizuri mke wangu".... "siwezi kukusikiliza wala siwezi kuondoka hapa" (Jenny alichachamaa kutokubaliana na mimi, alichukua begi lake na kurudi nalo chumbani kwake)............... SASA ENDELEA   Jenny aliniacha kwenye mduwazo mkubwa sana baada ya kukataa katakata kuondoka pale nyumbani. Akili yangu ilizidi kuchoka, nilijisogeza taratibu mpaka kitandani na kukaa, kisha nikajilaza kichalichali kwa kukikata kitanda nikifikiria cha kufanya baada ya Jenny kukataa kuondoka.    Nilinyanyuka pale kitandani na kumfuata Jenny kule chumbani kwake ili kwenda kumbembe...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                            PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503. SEHEMU YA 18    Ilipoishia sehemu ya kumi na saba (17)....................  "sina cha kukusaidia Theo, kwanza ondoka hapa, sitaki kusikia kabisa upuuzi wako" (Baba alinitaka niondoke pale kwa kunifukuza)....     Nilijitahidi sana kuomba msamaha kwa Baba huku nikiwa bado nimepiga magoti lakini haikuwezekana kusamehewa........................SASA ENDELEA    Nilitoa kitambaa kwenye mfuko wa suruali yangu na kujifuta machozi pamoja na kamasi, nikiwa bado nimepiga magoti, nilisimama na kuondoka bila kuacha baada ya kumaliza kujifuta machozi pamoja na kamasi. Nilienda moja kwa moja mpaka nyumbani, n...