Posts

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                                                    PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.   SEHEMU YA 28    Ilipoishia sehemu ya ishirini na saba (27)....................  Baada ya Jenny kumaliza kusukutua pia aliyanywa yale maji, nilikichukua kile kikombe toka kwa Jenny alipomaliza kunywa yale maji na kumpatia yule mzee kile kikombe. "Tunashukuru sana mzee wangu" (nilizidi kutoa shukurani zangu kwa yule mzee huku akiwa anakipokea kile kikombe, na kuingia nacho ndani). Ghafla Jenny alianza kulalamika kuumwa na tumbo baada tu ya kunywa yale maji..................... SASA ENDELEA    "Babu!, babu" (nilimwita ...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
                                                                                                                    PENZI  LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.  SEHEMU YA 27   Ilipoishia sehemu ya ishirini na sita (26).......................  "sawa mme wangu" (Jenny alikubaliana na mimi na tulilala huku kichwa chake akiwa amekiweka kifuani mwangu).   Tukiwa tunakunywa chai, majira ya asubuhi, kwa yule mama ntilie, alikuwa tayari kutupa jibu letu baada ya kuona wateja wamepungia.......................... SASA ENDELEA   (Nilijiweka tayari kisaikojia kwa ajili ya kupokea jibu lolote litakalotolewa pale na yule mama nt...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                          PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.    SEHEMU YA 26    Ilipoishia sehemu ya ishirini na tano (25).....................  "sawa wanangu, lakini huku hakuna nyumba zenye vyumba vya kupangishwa".... (nilivuta pumzi kwa kasi na kuiachia kwa kasi pia baada ya kusikia hivyo, kwani tulivyokuwa tunaendelea kukaa pale kwenye ile nyumba ya wageni ndiyo hela ilikuwa inatumika sana, na ukizingatia tulikuwa hatuna kazi yoyote ya kutuingizia hela)........................... SASA ENDELEA   "Lakini pale ninapoishi kuna jilani yangu ana nyumba mbili, na hio nyumba nyingine ni ndogo ni ya chumba kimoja na sebule, sasa subirini badae nikajaribu kuongea naye kesho mtalikuta jibu lenu hapa" (yule mama ntilie alituahidi ...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
                                                                  PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.  SEHEMU YA 25   Ilipoishia sehemu ya ishirini na nne (24)........................  Sikuweza tena kupata usingizi kwa wakati ule, kwani kulishaanza kupambazuka na miwiko ya jogoo tofauti tofauti pamoja na milio mizuri ya ndege wa angani vilichangia pia nishindwe kuupata usingizi alfajili ile, nilikaa pale kitandani nikiwa nafikiria jinsi ya kuyaendesha maisha ya pale kijijini, Jenny akiwa bado amelala ghafla alishtuka toka usingizini huku akiwa anahema kwa kasi ajabu.................... ITAENDELEA    "Vipi mke wangu, mbona hivyo?" (nilimuuliza Jenny akiwa tayari ile hali yake imetulia kidogo).... (Jenny hakuweza kunijibu chochote kwa muda ...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                        PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.       SEHEMU YA 24    Ilipoishia sehemu ya ishirini na tatu (23).................  "sawa, ngoja nikwambie mke wangu, (nilinyamaza kidogo), kwanza naomba unisamehe mke wangu kwa kutokukuambia ukweli juu ya mambo yaliyokuwa yanatokea ambayo yalikuwa yananiweka katika wakati mgumu sana, pia nilikuwa naogopa kukwambia ukweli kutona na hali yako mke wangu, niliogopa kukusababishia msongo wa mawazo, lakini pia licha ya mapenzi yetu kuyafanya kuwa ni siri sana pale nyumbani ila Baba alikuwa anajua kinachoendelea kati yetu"..... "nini" (Jenny alishtuka sana baada ya kusikia kuwa Baba alikuwa anajua kila kitu kutuhusu)....................... SASA ENDELEA    "Ndiyo mke ...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                              PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.  SEHEMU YA 23     ilipoishia sehemu ya ishirini na mbili (22)....................    Kwa pamoja tulianza kula chakula baada ya mimi kutoka mle bafuni nilipomaliza kuoga. "Unajua pale sijakuelewa mme wangu".... "hujanielewa nini?".... "kwanini umeamua kutaja majina ya uongo?" (Jenny aliniuliza tukiwa tunaendelea kula).................. SASA ENDELEA (Nilicheka kidogo baada ya kulisikia lile swali aliloniuliza Jenny).... "sasa mbona unacheka?".... "hapana mke wangu!, nimeamua tu kufanya vile kwa sababu ya kujiimalishia usalama wetu",.... "mmmmh, bado sijakuelewa mme wangu kuwa unamaanisha nini kusema hivyo".... (nilinyamaza kidogo) "nasema hivyo kwa s...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                          PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.   SEHEMU YA  22    Ilipoishia sehemu ya ishirini na moja (21)................  Baada ya kushuka pale stendi, nilifuata konda na kumtaka atutolee mabegi yetu toka kwenye ile buti alimoyahifadhi. Nikiwa nimesimama kandoni mwa lile basi huku nimeshikila mabegi na Jenny akiwa ameniegemea kwenye bega langu la upande wa kushoto kwa uchovu aliyokuwa wa safari, sikuwa najua wapi pa kuelekea kwa usiku ule............... SASA ENDELEA    Nilipata wazo la kumfuata konda kwa ajili ya kumuuliza kama atakuwa anajua kuwa sehemu gani tunaweza kupata nyumba ya wageni (guest), bila hiana yule konda alinielekeza kwenye nyumba ya wageni iliyopo karibu na pale stendi. Nilimwambia J...