Posts

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
                                                        PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.    SEHEMU YA 30   Ilipoishia sehemu ya ishirini na tisa (29)...................... "y uko hapo tu mtaa wa nyuma ndugu yangu".... (yule kijana alikuwa kimya kwa dakika chache) "sawa!, panda hapo twende" (yule kijana alilikubali ombi langu na kuniamuru nipande kwenye gari tayari kwenda kumsaidia Jenny kumpeleka hospitalini).   Baada ya kufika pale kwa yule mzee nilipomuacha Jenny nikiwa na usafiri, nilishtuka sana baada ya kumuona Jenny akiwa tayari...................... SASA ENDELEA   Amepona. Kwa hali ile mbaya niliyomuacha nayo Jenny sikuweza kuamini kama nitamkuta katika hali yake ya kawaida, nilimkimbilia na kupiga goti mbele yake "mke wangu, umepona?" (nilimuuliza Je...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                  PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.   SEHEMU YA 29     Ilipoishia sehemu ya ishirini na nane (28)....................  "hii siyo sumu, ila ni dawa kiboko ya tumbo, hata kama tumbo lako likiwa linauma vipi ila ukitumia hii dawa maumivu yanaisha papo hapo na hutaumwa tena na tumbo" (yule mzee aliipamba ile dawa kwa maneno matamu ya kuisifia, alijimiminia kidogo ile dawa kwenye kiganja cha mkono wake wa kushoto na kuilamba, alifanya hivyo kwa ajili ya kuihakikisha kuwa ile dawa ilikuwa ni salama, kisha alimpatia Jenny ile dawa baada ya yeye kuionja, Jenny aliipokea ile dawa na kuinywa yote).    Baada ya muda mfupi kupita, jenny alianza kulia juu ya maumivu makali sana ya tumb...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                                                    PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.   SEHEMU YA 28    Ilipoishia sehemu ya ishirini na saba (27)....................  Baada ya Jenny kumaliza kusukutua pia aliyanywa yale maji, nilikichukua kile kikombe toka kwa Jenny alipomaliza kunywa yale maji na kumpatia yule mzee kile kikombe. "Tunashukuru sana mzee wangu" (nilizidi kutoa shukurani zangu kwa yule mzee huku akiwa anakipokea kile kikombe, na kuingia nacho ndani). Ghafla Jenny alianza kulalamika kuumwa na tumbo baada tu ya kunywa yale maji..................... SASA ENDELEA    "Babu!, babu" (nilimwita ...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
                                                                                                                    PENZI  LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.  SEHEMU YA 27   Ilipoishia sehemu ya ishirini na sita (26).......................  "sawa mme wangu" (Jenny alikubaliana na mimi na tulilala huku kichwa chake akiwa amekiweka kifuani mwangu).   Tukiwa tunakunywa chai, majira ya asubuhi, kwa yule mama ntilie, alikuwa tayari kutupa jibu letu baada ya kuona wateja wamepungia.......................... SASA ENDELEA   (Nilijiweka tayari kisaikojia kwa ajili ya kupokea jibu lolote litakalotolewa pale na yule mama nt...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                          PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.    SEHEMU YA 26    Ilipoishia sehemu ya ishirini na tano (25).....................  "sawa wanangu, lakini huku hakuna nyumba zenye vyumba vya kupangishwa".... (nilivuta pumzi kwa kasi na kuiachia kwa kasi pia baada ya kusikia hivyo, kwani tulivyokuwa tunaendelea kukaa pale kwenye ile nyumba ya wageni ndiyo hela ilikuwa inatumika sana, na ukizingatia tulikuwa hatuna kazi yoyote ya kutuingizia hela)........................... SASA ENDELEA   "Lakini pale ninapoishi kuna jilani yangu ana nyumba mbili, na hio nyumba nyingine ni ndogo ni ya chumba kimoja na sebule, sasa subirini badae nikajaribu kuongea naye kesho mtalikuta jibu lenu hapa" (yule mama ntilie alituahidi ...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
                                                                  PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.  SEHEMU YA 25   Ilipoishia sehemu ya ishirini na nne (24)........................  Sikuweza tena kupata usingizi kwa wakati ule, kwani kulishaanza kupambazuka na miwiko ya jogoo tofauti tofauti pamoja na milio mizuri ya ndege wa angani vilichangia pia nishindwe kuupata usingizi alfajili ile, nilikaa pale kitandani nikiwa nafikiria jinsi ya kuyaendesha maisha ya pale kijijini, Jenny akiwa bado amelala ghafla alishtuka toka usingizini huku akiwa anahema kwa kasi ajabu.................... ITAENDELEA    "Vipi mke wangu, mbona hivyo?" (nilimuuliza Jenny akiwa tayari ile hali yake imetulia kidogo).... (Jenny hakuweza kunijibu chochote kwa muda ...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                        PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.       SEHEMU YA 24    Ilipoishia sehemu ya ishirini na tatu (23).................  "sawa, ngoja nikwambie mke wangu, (nilinyamaza kidogo), kwanza naomba unisamehe mke wangu kwa kutokukuambia ukweli juu ya mambo yaliyokuwa yanatokea ambayo yalikuwa yananiweka katika wakati mgumu sana, pia nilikuwa naogopa kukwambia ukweli kutona na hali yako mke wangu, niliogopa kukusababishia msongo wa mawazo, lakini pia licha ya mapenzi yetu kuyafanya kuwa ni siri sana pale nyumbani ila Baba alikuwa anajua kinachoendelea kati yetu"..... "nini" (Jenny alishtuka sana baada ya kusikia kuwa Baba alikuwa anajua kila kitu kutuhusu)....................... SASA ENDELEA    "Ndiyo mke ...