Posts

MALIPO YA USALITI

Image
                        MALIPO YA USALITI By Theostar Kwa mawasiliano zaidi 0673-779766 0782-589866                  SEHEMU YA 2  Ilipoishia sehemu ya 1 " (Juma alimsindikiza Halieth kwa macho tu yaliyokuwa yamejawa na tamaa ya kutaka kumwona Halieth akiwa anatembea tu kwa jinsi anavyozichezesha nyama za makalio yake)"............... SASA ENDELEA   Majira ya saa mbili na dakika kumi na tano usiku (20:15) Juma aliwasili Suzy's restaurant sehemu ya makutano. Alipofika sehemu husika Juma alitoa simu kwenye mfuko wa suruali yake na kumpigia Halieth, Halieth alipokea simu iliyokuwa ikiita kwa namba mpya "hallow"... "Halieth, unaongea na Juma! Habari yako" (Juma alianza mazungumzo kwa kujitambulisha kwa Halieth kwa sababu alitumia namba mpya).... Mimi nipo salama, hofu kwako tu...  Mimi pia nipo salama... Ni jambo la kumshukuru Mungu! Mimi nipo njiani naelekea mahala tu...

MALIPO YA USALITI

Image
                    MALIPO YA USALITI By Theostar Kwa mawasiliano zaidi 0673779766 0782589866                 SEHEMU YA 1   Juma na Hairath ni wapenzi wanaopendana sana. Mahusiano yao ya kimapenzi yamedumu kwa muda wa mwaka mmoja na nusu bila kuoana.   Juma alikua ni mfanyakazi katika hoteli ya Cate Hotel inayopatikana Kingorwilwa mjini Morogoro. Kitengo chake cha kazi kilikua cha kupokea wageni mbalimbali wanaofika katika hoteli hio. Siku moja Juma akiwa kwenye majukumu yake ya kikazi alitembelewa na mgeni aliyekuwa anafahamiana nae. "Karibu Halieth" (sauti ya Juma ilisikika kumkaribisha mgeni aliyeingia muda huo)... Asante! (mgeni "Halieth" alishukuru baada ya kukaribishwa na kukaa kwenye kiti kimojawapo vilivyoandaliwa kwa ajili ya wageni wanao ingia hotelini hapo, kisha akaendelea kuongea), habari za kazi rafiki yangu.. Mungu anasaidia vema, kazi zinaenda vizuri, sijui kwa upande wako...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
                                                                PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.   SEHEMU YA 32    Ilipoishia sehemu ya thelathini na moja (31)...................  Safari ya kwenda kwa yule mama tulioelekezwa na yule mama ntilie iliishia pale pale kwa yule mzee. Yule mzee alianza kututembeza katika eneo lake lililozunguka nyumba zake huku stori za hapa na pale zikiwa zinaendelea. "Sasa babu, tunaomba tukuache mara moja tu ili tukachukue kilichochetu pale kwenye nyumba ya wageni".... "sawa vijana wangu" (yule mzee alikubaliana na mimi, tuliondoka na kumuacha mzee Jakob akiwa mwenye furaha sana, tulielekea moja kwa moja kule kwenye nyumba ya wageni tayari kwenda kuchukua kilichochetu ili kuhamishia makazi mapya kwa yule mzee).  ...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
                                                            PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.     SEHEMU YA 31    Ilipoishia sehemu ya thelathini (30)...................  mimi naitwa mzee Jakob hivi mnavyoniona ndivyo nilivyo, mke wangu alikufa miaka miwili iliyopita na kwa bahati mbaya hatukuweza kupata mtoto, "pole sana mzee wangu" (nilimdakia tena yule mzee kwa kumpa pole baada ya kusikia kuwa amempoteza mke wake, na aliendelea kuongea), asante sana kijana wangu, pia nataka niwaambie kitu kimoja ambacho kitakuwa ni cha muhimu sana kwenu......................... SASA ENDELEA   "Eheee, tuambie mzee wangu" (nilimuhimiza yule mzee atuambie hicho kitu kwani nilikuwa na shauku kubwa ya kutaka kukijua kuwa ni kitu gani).... (yule mzee alinyamaza kwa dak...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
                                                        PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.    SEHEMU YA 30   Ilipoishia sehemu ya ishirini na tisa (29)...................... "y uko hapo tu mtaa wa nyuma ndugu yangu".... (yule kijana alikuwa kimya kwa dakika chache) "sawa!, panda hapo twende" (yule kijana alilikubali ombi langu na kuniamuru nipande kwenye gari tayari kwenda kumsaidia Jenny kumpeleka hospitalini).   Baada ya kufika pale kwa yule mzee nilipomuacha Jenny nikiwa na usafiri, nilishtuka sana baada ya kumuona Jenny akiwa tayari...................... SASA ENDELEA   Amepona. Kwa hali ile mbaya niliyomuacha nayo Jenny sikuweza kuamini kama nitamkuta katika hali yake ya kawaida, nilimkimbilia na kupiga goti mbele yake "mke wangu, umepona?" (nilimuuliza Je...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                  PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.   SEHEMU YA 29     Ilipoishia sehemu ya ishirini na nane (28)....................  "hii siyo sumu, ila ni dawa kiboko ya tumbo, hata kama tumbo lako likiwa linauma vipi ila ukitumia hii dawa maumivu yanaisha papo hapo na hutaumwa tena na tumbo" (yule mzee aliipamba ile dawa kwa maneno matamu ya kuisifia, alijimiminia kidogo ile dawa kwenye kiganja cha mkono wake wa kushoto na kuilamba, alifanya hivyo kwa ajili ya kuihakikisha kuwa ile dawa ilikuwa ni salama, kisha alimpatia Jenny ile dawa baada ya yeye kuionja, Jenny aliipokea ile dawa na kuinywa yote).    Baada ya muda mfupi kupita, jenny alianza kulia juu ya maumivu makali sana ya tumb...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                                                    PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.   SEHEMU YA 28    Ilipoishia sehemu ya ishirini na saba (27)....................  Baada ya Jenny kumaliza kusukutua pia aliyanywa yale maji, nilikichukua kile kikombe toka kwa Jenny alipomaliza kunywa yale maji na kumpatia yule mzee kile kikombe. "Tunashukuru sana mzee wangu" (nilizidi kutoa shukurani zangu kwa yule mzee huku akiwa anakipokea kile kikombe, na kuingia nacho ndani). Ghafla Jenny alianza kulalamika kuumwa na tumbo baada tu ya kunywa yale maji..................... SASA ENDELEA    "Babu!, babu" (nilimwita ...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
                                                                                                                    PENZI  LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.  SEHEMU YA 27   Ilipoishia sehemu ya ishirini na sita (26).......................  "sawa mme wangu" (Jenny alikubaliana na mimi na tulilala huku kichwa chake akiwa amekiweka kifuani mwangu).   Tukiwa tunakunywa chai, majira ya asubuhi, kwa yule mama ntilie, alikuwa tayari kutupa jibu letu baada ya kuona wateja wamepungia.......................... SASA ENDELEA   (Nilijiweka tayari kisaikojia kwa ajili ya kupokea jibu lolote litakalotolewa pale na yule mama nt...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                          PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.    SEHEMU YA 26    Ilipoishia sehemu ya ishirini na tano (25).....................  "sawa wanangu, lakini huku hakuna nyumba zenye vyumba vya kupangishwa".... (nilivuta pumzi kwa kasi na kuiachia kwa kasi pia baada ya kusikia hivyo, kwani tulivyokuwa tunaendelea kukaa pale kwenye ile nyumba ya wageni ndiyo hela ilikuwa inatumika sana, na ukizingatia tulikuwa hatuna kazi yoyote ya kutuingizia hela)........................... SASA ENDELEA   "Lakini pale ninapoishi kuna jilani yangu ana nyumba mbili, na hio nyumba nyingine ni ndogo ni ya chumba kimoja na sebule, sasa subirini badae nikajaribu kuongea naye kesho mtalikuta jibu lenu hapa" (yule mama ntilie alituahidi ...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
                                                                  PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.  SEHEMU YA 25   Ilipoishia sehemu ya ishirini na nne (24)........................  Sikuweza tena kupata usingizi kwa wakati ule, kwani kulishaanza kupambazuka na miwiko ya jogoo tofauti tofauti pamoja na milio mizuri ya ndege wa angani vilichangia pia nishindwe kuupata usingizi alfajili ile, nilikaa pale kitandani nikiwa nafikiria jinsi ya kuyaendesha maisha ya pale kijijini, Jenny akiwa bado amelala ghafla alishtuka toka usingizini huku akiwa anahema kwa kasi ajabu.................... ITAENDELEA    "Vipi mke wangu, mbona hivyo?" (nilimuuliza Jenny akiwa tayari ile hali yake imetulia kidogo).... (Jenny hakuweza kunijibu chochote kwa muda ...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                        PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.       SEHEMU YA 24    Ilipoishia sehemu ya ishirini na tatu (23).................  "sawa, ngoja nikwambie mke wangu, (nilinyamaza kidogo), kwanza naomba unisamehe mke wangu kwa kutokukuambia ukweli juu ya mambo yaliyokuwa yanatokea ambayo yalikuwa yananiweka katika wakati mgumu sana, pia nilikuwa naogopa kukwambia ukweli kutona na hali yako mke wangu, niliogopa kukusababishia msongo wa mawazo, lakini pia licha ya mapenzi yetu kuyafanya kuwa ni siri sana pale nyumbani ila Baba alikuwa anajua kinachoendelea kati yetu"..... "nini" (Jenny alishtuka sana baada ya kusikia kuwa Baba alikuwa anajua kila kitu kutuhusu)....................... SASA ENDELEA    "Ndiyo mke ...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                              PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.  SEHEMU YA 23     ilipoishia sehemu ya ishirini na mbili (22)....................    Kwa pamoja tulianza kula chakula baada ya mimi kutoka mle bafuni nilipomaliza kuoga. "Unajua pale sijakuelewa mme wangu".... "hujanielewa nini?".... "kwanini umeamua kutaja majina ya uongo?" (Jenny aliniuliza tukiwa tunaendelea kula).................. SASA ENDELEA (Nilicheka kidogo baada ya kulisikia lile swali aliloniuliza Jenny).... "sasa mbona unacheka?".... "hapana mke wangu!, nimeamua tu kufanya vile kwa sababu ya kujiimalishia usalama wetu",.... "mmmmh, bado sijakuelewa mme wangu kuwa unamaanisha nini kusema hivyo".... (nilinyamaza kidogo) "nasema hivyo kwa s...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                          PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.   SEHEMU YA  22    Ilipoishia sehemu ya ishirini na moja (21)................  Baada ya kushuka pale stendi, nilifuata konda na kumtaka atutolee mabegi yetu toka kwenye ile buti alimoyahifadhi. Nikiwa nimesimama kandoni mwa lile basi huku nimeshikila mabegi na Jenny akiwa ameniegemea kwenye bega langu la upande wa kushoto kwa uchovu aliyokuwa wa safari, sikuwa najua wapi pa kuelekea kwa usiku ule............... SASA ENDELEA    Nilipata wazo la kumfuata konda kwa ajili ya kumuuliza kama atakuwa anajua kuwa sehemu gani tunaweza kupata nyumba ya wageni (guest), bila hiana yule konda alinielekeza kwenye nyumba ya wageni iliyopo karibu na pale stendi. Nilimwambia J...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                                                                                SEHEMU YA 21 PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.         Ilipoishia sehemu ya ishirini (20)................  Tulishuka kwenye ile bajaji baada ya kufika pale stendi, nilishusha mabegi yetu na kumpatia hela yake yule dereva bajaji. Tuliingia ndani ya stendi huku nikiwa nimebeba mabegi yote mawili.   Tukiwa ndani ya stendi, niliduwaa baada ya kuona wingi wa mabasi yaliyopo pale stendi na sikujua wapi pa kuelekea...................... SASA ENDELEA   ...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                  PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.    SEHEMU YA 20    Ilipoishia sehemu ya kumi na tisa (19)...............    "Nashindwa kukuelewa Jenny kwa ukimya huo unamaanisha nini?" (nilimuuliza Jenny baada ya kuona kuwa kimya kimezidi).... (Jenny alibaki kimya kwa dakika chache na kujibu) "Theo, nitawezaje kuondoka na kumuacha aunty ateseke peke yake?, siwezi kuondoka hapa Theo, siwezi................. SASA ENDELEA     Nilishtuka sana baada ya kusikia hilo jibu alilolitoa Jenny, nilivuta pumzi kwa kasi na kuiachia kwa kasi pia, na nikabaki kimya kwa dakika chache nikiwa napima uzito wa lile jibu la Jenny huku nikitafuta maneno mengine ya kumwambia ambayo yatakuwa maz...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI.

Image
                                                    PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.     SEHEMU YA 19       Ilipoishia sehemu ya kumi na nane (18)...............  "naomba unisikilize na unielewe vizuri mke wangu".... "siwezi kukusikiliza wala siwezi kuondoka hapa" (Jenny alichachamaa kutokubaliana na mimi, alichukua begi lake na kurudi nalo chumbani kwake)............... SASA ENDELEA   Jenny aliniacha kwenye mduwazo mkubwa sana baada ya kukataa katakata kuondoka pale nyumbani. Akili yangu ilizidi kuchoka, nilijisogeza taratibu mpaka kitandani na kukaa, kisha nikajilaza kichalichali kwa kukikata kitanda nikifikiria cha kufanya baada ya Jenny kukataa kuondoka.    Nilinyanyuka pale kitandani na kumfuata Jenny kule chumbani kwake ili kwenda kumbembe...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                            PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503. SEHEMU YA 18    Ilipoishia sehemu ya kumi na saba (17)....................  "sina cha kukusaidia Theo, kwanza ondoka hapa, sitaki kusikia kabisa upuuzi wako" (Baba alinitaka niondoke pale kwa kunifukuza)....     Nilijitahidi sana kuomba msamaha kwa Baba huku nikiwa bado nimepiga magoti lakini haikuwezekana kusamehewa........................SASA ENDELEA    Nilitoa kitambaa kwenye mfuko wa suruali yangu na kujifuta machozi pamoja na kamasi, nikiwa bado nimepiga magoti, nilisimama na kuondoka bila kuacha baada ya kumaliza kujifuta machozi pamoja na kamasi. Nilienda moja kwa moja mpaka nyumbani, n...

PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI

Image
                                                                    PENZI LA MTOTO WA SHANGAZI By theostar Kwa mawasiliano zaidi 0692-794942 0654-105503.     SEHEMU YA 17     Ilipoishia sehemu ya kumi na sita (16).............................  Yalipotimu majira ya saa 7 ya mchana, nilizisitisha shughuli zangu kwa ajili ya kwenda kumuona mzee John. Nilipofika pale kazini kwake, niliingia moja kwa moja ofisini kwake, Baba alishangaa sana kuiona sura yangu mahala pale............................. SASA ENDELEA    "Shikamoo baba" (nilisalimia na kukaa kwenye kiti kilichopo mbele ya meza yake).... "marahaba, vipi".... "safi tu baba, habari za kazi".... "safi, vipi!,  mbona ujio wako ni wa ghafla, kwema huko lakini?" (Baba aliniuliza, kwani alishangazwa na ujio wangu wa ghafl...